[fourwaystospoon: domo-arigato-gozimas
Mr2Pretty: doo itasimasite]
shairi yangu kwa darasa la kiswahili:
sasa tembea sokoni, uende sema na muuza.
matunda zambarau pili, yanaipendesha meza.
tunayapenda kibichi, lini parachichi, chokaa.
njoo hapa vijirani, nilipikisha chakula.[jioni hii, nilikula na rafiki yangu sam, ambaye mwanafunzi katika
(
Read more... )
Comments 1
Shairi lako ngumu sana. Kusema kweli sijui parachichi ni nini among other things na sielewi shairi lako.
Wewe mzaliwa uswahilini ama ulijifunza kiswahili? Sikujua Naiobi ina character namna hiyo. Nimesikia watu wengi wakisema hivyo lakini ...
Kuwa na siku njema.
Reply
Leave a comment